Habari-Picha

CUF Wapata ajali wakienda kwenye mkutano Nungwi

Ajali ya wafuasi wanaokwenda katika mkutano wa CUF Nungwi ajali hilo imetokea ktk daraja la Kitipe. Dereva kaumia sana miguuni. Allah awavue hili na jengine

Kwa niaba ya Mzalendo Net napenda kutoa pole kwa wote waliofikwa na maafa, na wale walioumia Allah awape shifaaa ya karibu in shaa Allah, ameen ya rabbal alameen.

Share: