Habari-Picha

Picha:Dua maalum ya kuwaombea waliofariki ajali ya Skagit

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein wapili kutoka kulia akijumuika na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi katika Khitma na Dua ya kuwaombea marehemu waliofariki kwa ajali ya Meli ya Skagit iliozama karibu na kisiwa cha chumbe 18/07/2012 katika Msikiti wa Mushawwara Muembe shauri Zanzibar.

Picha zote kwa hisani ya Salma Said,

Tagsslider
Share: