Habari-Picha

Tsunami yaanza ZNZ Masai wamininika

Wananchi wa ZNZ tunapaswa kusherehekea na kuwashkuru CCM kuruhusu wamasai kupewa vitambulisho vya kura vya kizanzibari, Kwani wamefurika kusubiri kumpokea mH.Lowassa atakapowasili ZNZ LEO,na kupokelewa na Makamo wa kwanza wa Rais pamoja na Mh.Jussa Ladhu.
Na bado either wawahamishe wamasai Leo leo au wasubiri kifo Chao.
Wafanyakazibwa serikali wamepewa onto kutoka makazini kushiriki baadhi ya wizara..ila hilo haliwasuhulishi.
IMG-20150817-WA0015
znz

IMG-20150817-WA0017
IMG-20150817-WA0015
IMG-20150817-WA0016

Share: