Habari-Picha

Upumbavu vs Upumbavu

Hii Ni barua iliyompandisha mahakamani waziri wa mambo ya ndanibwa zamani bw.Lawrence Masha ikieleza kile alichoshtakiwa.
Wakati huo huo Mkapa alitumia neno Hilo Hilo mpumbavu lakini Ni sahihi na la kistasrab kwa vile alietumia Ni CCM.
barua ya lawrence

Share: