Habari

Sikiliza Darsa ya Ndoa kupitia Radio Adhana Fm

Asalamu aleikum warahmatulwahi wabarakatuh waskilizaji wetu wa radio adhana fm masjid jumuiya rahaleo Zanzibar popote pale mlipo,kama kawaida leo hii jumapili ya tarehe 18 jan 2015 majira ya saa nne na robo za usiku hadi saa sita usiku east african time tutakuwa na kipindi chetu cha live cha falsafa ya ndoa.

Leo hii mada yetu itakuwa ni wanawake wanaoharamika kuolewa.

Masheikh wetu watakaotuelimisha katika darsa hii ya ndoa ni sheikh shaaban bin salim al-batashy na sheikh mussa ame.
Kwa mliopo nyumbani Zanzibar tunapatikana kupitia mhz 104.09 fm na wanaotuskiliza kwa mtandao wa internet ni www.radiostationstz.com na application ya tunein radio kupitia simu za mkononi.

Mnaweza kutupigia kupitia simu nambari +255773504449 viber na whatsup na skype ni(live.adhana)

Share: