Habari

SMZ imchukulie hatua alie mdhalilisha mtume Muhammad (S.a.w ) kabla ya waislamu kuchukua hatua

Alie pembeni ya waziri wa mambo ya ndani, Bwana Abdallah u pande wa kushoto ndio alie mdhalilisha Mtume wetu  Muhammad  (S.a.w )

Alie pembeni ya waziri wa mambo ya ndani, Bwana Abdallah u pande wa kushoto ndio alie mdhalilisha Mtume wetu Muhammad (S.a.w )

Assalam Alaikum

Tumepokea video hii leo inayo mu onesha bwana Abdallah anae julikana, akimtukana mtume wetu Muhammad (s.a.w ) ,kwa mujibu wa uislamu kwa kosa alilo fanya hukmu yake ni kifo.

Sisi sote waislamu ulimwenguni tumechukizwa sana kwa udhalilishaji huu,nasi umma huu wa kislam tunatakiwa tumlinde na tumtetee mtume wetu Muhammad (s.a.w ) Kama walio tangulia kabla yetu.

Tunalaani sana sana,na tunaiyomba serikali ya mapinduzi ya Zanzibar chini Rais mohammed Shein kuchukua hatua za kisheria kabla sisi waislamu kuchukua hatua mikononi mwetu.

Kila muislamu kwa matendo haya ya kumkashifu mtume tunatakiwa tulaani na tuuchukie na tumlinde mtume Muhammad s.a.w.

Nimeshundwa kuiweka video Wallah..

Maasalaam

Share: