Habari

SMZ na wanafunzi wanao wasomesha nje ya nchii

Serekali ya mapinduzi hamuwafanyii haki vijana wenu munao wasomesha nje  wanafunzi wenu wa china hamuja wamalizia pesa za masomo na wanasumbuliwa na vyoo na hawana kwa kukimbilia wakipeleka malalamiko ubalozini hujibiwa ya kuwa ubalozi wa tanzania (tanganyika )nchini china hauna taarifa ya kuwa smz inasomesha watu china

pili huo utaratibu wenu wa kuwapa dola 1000usd za matumizi kwa kila miezi mitatu basi hakikisheni ikifika tu miezi mitatu wapatieni nyengine sababu wanafunzi wanalipa maji umeme na huduma nyenginee

kiufupi musipo kuwa makini harudi mtu hoko shinda nyingi za wanafunzi,wanafuzi wa ukrein, uganga, masri ,india

shida za wanafunzi zimezidi damuu wasaidienii watilieni pesa kwa awamu ya piliiii za matumiziii na muwamalizie kuwalipia pesa za adaa ya masomo

Share: