Habari

SOMA UJUWE

Anaandika Ibrahim Hussein

– Nani alieinusuru historia ya Mapinduzi isitoweke?.

– Chuki za Nyerere juu ya Zanzibar zilikuwa wazi hata kabla ya kupatikana Uhuru wa Tanganyika.

– Alitumia fursa ya Uhuru wa Tanganyika kutimiza ndoto yake ya muda mrefu.

– Ni yeye alieandaa Mapinduzi ya Zanzibar.

– NI yeye alieagiza silaha zilizotumika kupindua Serikali halali ya wananchi wa Zanzibar.

-Waingereza walikuwa wakijuwa vizuri kile kilichokua kikiendelea kikiandaliwa Zanzibar.

– Mayahudi walishiriki kufanikisha kwa Mapinduzi ya Zanzibar.

– Ripoti za maafisa wa Uingereza zaonesha kwamba WaTanganyika ndio waliokwenda Zanzibar kupindua.

– Makundi yalioshirikishwa katika kufanisha Mapinduzi ya Zanzibar.

– Kamati ya watu 14 we Baraza la Mapinduzi ni mchezo wa kuigizwa.

– Kwa makusudi kabisa ulifichwa ukweli Wa mhusika Mkuu wa Mapinduzi.

-Viongozi wa Chama Cha Umma kikiongozwa na Abdurahman Mohamed Babu namna walivyo shirikishwa katika kusaidia kufanikisha Mapinduzi.

– Kwanini alitafutwa Okello aongoze Mapinduzi ya Zanzibar.

– Soma vutuko vyake katika kuyaongoza Mapinduzi ya Zanzibar.

-Ni kazi hasa la JASUSI la kimarekani Frank Calucci katika kufanikisha Muungano.

– Zisome simu za siriza mabalozi wa kimarekani katika juhudi zao za kuufanikisha Muungano.

– Mikakati ya Wamarekani na Waingereza pamoja na Tanganyika kuvamia Zanzibar kijeshi kama watauasi mungano.

– Karume alinyimwa fursa ya kuwashirikisha Wazanzibari katika Muungano.

Haya na mengi mengineyo utayajuwa utakapoasoma.

SOMA UTAMBUE.

Share: