HabariVifo

TAARIFA YA KIFO

Tunasikitika kutangaza kifo cha Bw. Shibu Hassan Bilali, kilichotokea nyumbani kwake Mchangani Zanzibar siku ya Jumaatatu 10/06/2013. Shibu aliwahi kuwa mwanajeshi, alishtakiwa katika kesi ya uhaini(kifo cha Mzee Karume) na mwishowe alifanyakazi bandarini.

Mungu amlaze pema peponi, amin.

Share: