Habari

Tumsaidie huyu kijana Mzanzibari ni maarufu kwa jina la Makampas

A.Aleykum:
Kuna kijana mwenzetu kafikwa n matatizo.

Akifanya kazi Oman kapitia Dubai kw ndege flydubai kazuiwa Dubai airport tokea J’mosi 20/4 ana matatizo y akili tokea huko Oman hapa Dubai kachomokewa tena airport hawakumruhusu kusafiri tokea juzi yuko Rashid Hospital bado akili zake hazijakaa sawa.

Jina:Ali Amir Kheri

Anatokea Pemba alivyosema hakuna jamaa yake hapa Dubai wala hakuna mtu anaemshuhulikia hapa hospital.
Anaemjua Pls awambie jamaa zake

Kwy picha ni huyo aliebeba mfuko kavaa sweater Green”

Share: