Habari

Tunguu Zanzibar kunatisha kwa Ujambazi ,Wazanzibar katika Shehia ya Tunguu ,walizwa na Ujambazi ulio kisiri .

Serekali ya SMZ na ile ya SMT kwajitihada zao na kushirikiana na vyombo vya Dola ,Ni muhimu sana wakachukua hatua za haraka sana kukabiliana na wimbi hili la Majambazi walio fanya hujuma Tanzania bara na kukimbilia Zanzibar katika eneo la Tunguu kuja kujificha kuona ndio Chaka lao .

Tunguu ni eneo lililoko nje kidogo ya mji mkuu wa Zanzibar, Na mengi ya majengo yake ni Magofu ya Nyumba zilizojengwa ambazo hazijahamiwa, na hizo zilizohamiwa wakaazi wa maeneo hayo imebidi wayahame maeneo yao kutokana na usalama wao na wimbi kubwa la vitendo vya hujuma vinavyoendelea katika maeneo hayo.

Magofu hayo imekua ni vichaka na Ngome kuu za Wahalifu walio kimbia jinai na kuona ndio chaka lao kubwa lakukimbilia na kuhisi wako salama na kufikwa na vyomba vya Dola na mkono wacheri.

Kuna kesi kazaa zimeripotiwa katika kituo cha Polisi cha Tunguu wizi wakuingia katika majumba,uzaji wa madawa yakulevya ovyo ovyo na uporaji mkubwa wa utumiaji nguvu nyakati za usiku.

Hii inaondoa taswira ya wakazi wa maeneo hayo kuingiwa na hofu ya usalama wao na familia zao katika hujuma na vitendo vinavyoendelea katika kitongoji hicho,ujambazi ulio kisiri wakutumia nguvu,uzaji wa madawa yakulevya kama vile watu wanauziana karanga na ukahaba katika nyakati za usiku wanawake kujioa hazarani na kuza mili yao.

Vitendo hivi vyote vimewasababisha wakazi wa maeneo haya kuchukia na kuyahama bila kutaka maeneo yao na si utamaduni mzuri kwa wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla wake.

Kwawale wasamaria wema wenye kuwapa maeneo watu wasio wajua au majirani kuvamiwa na watu wasio wajua kwenye nyumba zilizojengwa ambazo hazijahamiwa , ni bora kufanya uhakiki wa kuwajua watu hao na kupiga report kama wanawasiwasi nao katika vyombo husika.

Share:

2 comments

 1. abuu7 8 Julai, 2018 at 07:29 Jibu

  Sio tunguu tu unguja nzima. Mnaungana na mijitu milion 45.
  Kisaninii. Eti tunaulinda mungano. Kumbe kwa tarifa zetu tunaulinda u CCM.

  Bara kunapandishwa majumba sisi huku tunapandishiwa makanisa

  Zijueni tafsir za dini yanu. Sio kilawakati mujuwe tafsiri ya katiba. MIJAMBAZI CCM

  UMATI UNACHAGUWA CUF SI KAMA TUNATAKA CUF NOOOO .TUNACHOTA TUWACHIWE TUPUMUE

 2. makame silima 15 Julai, 2018 at 09:42 Jibu

  Baraza letu la Uwakilishi( BLW )asilimia 99% wajumbe wake ni waislamu lakini wanabeba zima kubwa mbele ya Allah kutokutumia power yao kuzuia vilabu vya Pombe ,Madanguro na Wimbi la Majambazi walio eke kambi Tunguu.

  Leo hali ni hii wanakula pamoja na masheha.

  https://youtu.be/P285y1VwW-4

Leave a reply