Habari

Uchaguzi Zanzibar

Mpenzi mfuatiliaji wa mzalendo.net unaweza kufuatilia kinachoendelea katika uchaguzi wa Zanzibar kupitia www.chuchufm.com wapo live kwa walio na computers na wale walio na smart phones unaweza kudownload app yoyote, andika radio tanzania kama una google playstore utaipata radio adhana, wao pia wapo live wanaendelea kucover uchaguzi.

Tuendeleee kujuzana na kuomba dua uchaguzi uende kwa amani na salama na mshindi aheshimiwe haki yake.

Picha kwa hisani ya FB page ya Salma Said:
12049563_1534296466861843_2422843263080118226_n

11045491_1534296276861862_14540564341658853_n

Tagsslider
Share: