Habari

Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal 2

DECEMBER 1, 2017 BY ZANZIBARIYETU
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal 2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe akitiliana saini na Muakilishi kutoka Kampuni ya ADP Ingenierie ya Ufaransa Frederic Thenevin kuhusu Usimamizi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Terminal Two katika Ukumbi wa Mkutano wa Wizara hio Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.

Zanzibar Yetu

Share:

4 comments

 1. Ghalib 2 Disemba, 2017 at 01:06

  @Ashakh

  Terminal 2 si ndio ile ilio achwa na wachina haikumalizwa hio ni awamu ya tatu, kwa makisio nasikia pesa ilikuwa imetumika ina uwezo wa kujenga terminal nyengine, maana miaka sasa viongozi wanatafuta fedha.

 2. abuu7 2 Disemba, 2017 at 06:41

  sio terminal 2 . Hii ni plaan B.
  muda unapoteya nyie kila kikicha mnakwangura peni kwenye makaratasi.

  kule bara makanisa ya Europa yanaipiga jeki tanganyika kila kukicha.
  wengi hamuelewi.

  utasikiya kila siku misaada.

  itafika muda hatuna sehemu tena pakuzikana. itabidi upigwe moto.

 3. Tengoni 2 Disemba, 2017 at 11:12

  Mimi sielewi, nadhani ni terminal three, kwani nakumbuka kulikuwa na kishindo cha wachina kuchelewa kumaliza terminal two, wakati mamilioni yamekopwa. Tuliamhia mara ramani imekosewa, mara fedha hazitoshi ziongezwe, mara balozi wa china kaahidi mwaka hauishi atakabidhi uwanja. Sijui nadhani wamekusudia terminal three.

Leave a reply