Gharama za hosting za mtandao wa MZALENDO
Asalamaleykum,
Tungepelea kukumbushana kwa wale wataojaaliwa kuchangia kama tumefikia mwisho wa mwaka na tunahijika kufanya malipo ya hosting.Tutajaribu pia kuwasiliana na wadhamini wetu wa matangazo wakiwamo Zanzibarkwetu kwa kusponsor gharama za hosting.
MZALENDO