Ujumbe maalum

“A house divided against itself cannot stand” Lincon

“A house divided against itself cannot stand.” I believe this government cannot endure, permanently half slave and half free.”

Hayo ni maneno ya Abram Lincon ,na ndio tunashuhudia leo hii jinsi gani wenzetu wanaendelea na sisi tumebakia kugombana na kukaa na njaa, na ndio maana Rais wa zamani wa Marekani Harry S Truman alisema, “If you can not convince them, confuse them”

CCM wameshindwa kutuhadaa na kutushawishi sasa wamebakia na kutuchanganya changanya tu ,wakati wachache wanafaidika.

1936294_1278510542175407_3685375100223565720_n

Cinema – Pemba

10995294_1278494255510369_8221913867287414983_n

Dar es Salaam

Share: