Ujumbe maalum

Kufunga matangazo

Asalaamaleykum,

Tunawatangazia kufunga matangazo baada ya mwezi mmoja inshallah (2/sept/2019).Hii itatoa nafasi kwa wenzetu kupata fursa za kuja na mawazo mapya kusonga mbele.Nadhani kwa upande wa kiufundi kazi iliofanyika hapa kwa mfano ya tafsiri ya platform ya wordpress inaweza bado kutumika na kuendelezwa. Kwa wale wenye lengo la kuendelea na tafsiri tembelea https://make.wordpress.org/polyglots/teams/?locale=sw.

Masaalam,
mfroasty – technical support

Share: