Ujumbe maalum

Matatizo ya mtandao – performance

Salaam,

Naona bora tuambizane tokea jana mtandao umekuwa slow, kutokana na limitation ya resources zilizopo.Tumeshafanya mawasiliano, lakini naona tatizo halijaondoka kwa asilimia 100.Mwaomba muwe wastahamilivu kidogo.

Wasalaam,
mrfroasty – technical support

Share: