Ujumbe maalum

Matatizo ya ufundi yanaombwa yaripotiwe upya

A.S,

Kumekuwa na repoti kuwa kuna matatizo ya wazalendo kulogin, kwa bahati mbaya tatizo hili liliripotiwa na Ghalib kwenye inbox yangu na nikatoa jibu kuwa sijaliona tatizo lenyewe.Kiufupi ili fundi au daktari aweze kusaidia lazima aweze kujua na kufahamu tatizo.Nilipojaribu kulogin sikuliona tatizo hilo, nakubaliana na fact kuwa kulikuwa na mabadiliko madogo kwenye suala la spam protection ambayo jana baada ya mazungumzo na Hassan tumefanya roll back kwenda situation ya kabla yake hadi tutapopata maelekezo kutoka kwenu.

Ninachokiomba mmoja ya wazalendo anaekumbana na tatizo la kulogin anitumie kwenye inbox yangu information zifuatazo:

1.Browser information, tafadhali nenda kwenye Help >> About
2.Step wise info unalogin vipi.

P:S
**Nina wasi wasi tatizo kulogin au kuenda kwenye dashboard ? Hiki pia hakiko clear.
**Inshallah nina safari leo, lakini kuanzia jumapili nitakuwa na muda wa kutosha.

Wasalaam,
technical support

Share: