Ujumbe maalum

Matengenezo (maintanance) – solved

Salaam,

Ni muda muda kidogo server au computer inayorusha mtandao huu haijafanyiwa matengenezo kwa kiengereza maintanance.Hivyo usiku wa leo tuko kwenye mchakato huo.Mambo yanayotarajiwa kufanyiwa marekebisho/upgrade ni pamoja na software zinatumika kwenye server level i.e PHP, MYSQL, WordPress, Apache etc.

Vile kama muda utaruhusu tutafanya automated database backups.Hatuna plan ya kuondoa mtandao heani, lakini mtumiaji wa kawaida anaweza kugundua kama mtandao umekuwa slow na pengine sekunde chache kuondoka hewani kwa kureboot computer na vitu kama hivyo.

Wasalaam,
Technical Support

Share: