Ujumbe maalum

Mtandao na matatizo ya kifundi

Salaam,

Nasikitishwa kuona kwamba MZALENDO.NET imekumbana na tatizo la kiufundi imechukua masaa mengi hadi wazalendo kutoa habari kwa uongozi.Ni kweli jana nimetembelea mtandao na ulikuwa hewani kama kazi, lakini kumbe baada ya kuondoka moja ya huduma muhimu (Database) iliondoka hewani na kusababisha mtandao kukosa kufanya mawasiliano vizuri.

Tunamshukuru Bi.Layla na Sheikh Ghalib kwa kurepoti tatizo hilo na sasa tuko hewani kama kawaida.

Wasalaam

Share: