Ujumbe maalum

Muhimu:Uchapishaji wa makala/machapisho

Salaam,

Jinsi ya kupaste:

Tumenotice siku mara nyingi au mara nyingi baadhi ya wajumbe wanapochapisha hutumia HTML-MODE au kwa kiswahili “Kwa-uangalizi”.Tafadhali tumia textual mode wakati wote unapo-paste maandishi.Wakati mwengine wowote unaweza kutumia mode hio ya HTML, tatizo ni wakati wa kupaste tuu.

text-mode

 

Uchachapishaji picha:

tafuta-picha

Unapochapa picha ndani ya MZALENDO.NET kwa kutumia HTML kuna hasara zake kwa mtandao huu.Miongoni mwa hizo ni:

  1. Hio saiti nyengine ikiwa down na sie picha imepotea au link inakuwa broken kusababisha chapisho lisisomeke.
  2. Google rank inakwenda down kwa kuwa na links nyingi na kukosekana unique-ness ya content.
  3. Unabeba html content za saiti nyengine kama style, ambazo hazina effect sawa kwenye mtandao wa MZALENDO.NET.Hii ndio sababu ya msingi ya kuonekana paragraphs zisizosomeka vizuri.

Tunahimiza watu kueka chanzo mwisho wa chapisho, hili tumepata malalamiko mara nyingi hivyo tunalihimiza.Hususan vitu kama majina ya waandishi na wapiga picha, tunaomba wazalendo wajitahid kueka maana ni haki yake mwandishi kupewa katika chapisho labda mtu uwe umeandika mwenyewe itakuwa ni kesi nyengine.

Shukurani kwa ushirikiano.

mrfroasty- technical support

Share: