Ujumbe maalum

Petitioning Dk.Ali Mohammed Shein (Zanzibar President)

Salaam,

Tumejaza petition ya kutoa msukumo kwa viongozi wa nchi kuwaachia Masheikh wetu warudi kwa familia zao na kuendelea na shughuli zao.Wazalendo na waislamu popote walipo wanaombwa kutia saini mchakato huo.

https://www.change.org/p/dk-ali-mohammed-shein-zanzibar-president-release-uamsho-leaders

MZALENDO.NET

Share: