Ujumbe maalum

We are ready for HONEST BROTHERHOOD BUT NOT COLONIZATION

We are ready for HONEST BROTHERHOOD BUT NOT COLONIZATION

Katika kitabu kinachoitwa :- “Growth of African Civilization East and Central Africa to the late Nineteenth Century” kilichoandikwa na mwaka 1967 na bwana BASIL DAVIDSON,

Katika ukurasa 204-205 anasema
” In 1890 the German military commander, Hermann von Wissmann, demanded (MASEMBA, chief of YAO to) his submission to German rule.

Masemba wrote him a reply :- I have listened to your words, but I can find no reason why I should obey you. I would rather die….. I look for some reason why I should obey you and I find not the smallest. ( Nimesikiliza maneno YAKO, HATA hivyo sijaona SABABU HATA MOJA KWANINI NISALIMISHE MAMLAKA WATU WANGU KWAKO. NARADUA KIFO . Nimetafuta SABABU KWANINI UBURU WANGU KWAKO NIMESHINDWA KUIONA HATA SABABU NDOGO

If it should be FRIENDSHIP THAT YOU WANT , then I am ready for it, today and always. But I will not be your subject…. ( IKIWA UNATAKA URAFIKI MWEMA MIMI NIKO TAYARI LEO NA SIKU ZOTE KWA HILO. Lakini kamwe SITOKUWA MTUMWA WAKO.

I am sultan in my land . You are sultan there in yours. But listen to me: I don’t say that you should obey me, for I know that you are a free man.( MIMI NI Mtawala KATIKA ardhi YANGU NA wewe NI mtawala katika ardhi YAKO. Hata siku MOJA sisemi USALIMISHE UHURU WAKO KWANGU– KWA SABABU NAJUWA WEWE NI MTU HURU::: NYINYI NI NCHI HURU)

—— We are ready for FRIENDSHIP BUT NOT COLONIZATION—

fb

Share: