Ujumbe maalum

Tangazo:Mabadiliko ya muda mfupi katika registration

Salaam,

Kwa ufupi siku za karibuni kumekuwa na gurupu la uandikishaji wenye lengo la kufanya matumizi mabaya na yale yaliokusudiwa na MZALENDO.NET.Kutokana na utafiti wetu wa kina tumegundua kuna haja ya kusimamisha uandikishaji wa wazalendo wapya hadi hapo mhemko wa kijecha-jecha utakapo kuwa shwari.

Tunawashukuru wale wote waliotumia mda wao kuripoti tatizo hili lilojitokeza kipindi hiki nyeti.

MZALENDO.NET – technical team

Share: