Ujumbe maalum

Tangazo:Matatizo ya hapa na pale!

Salaam,

Tuko kwenye harakati za kuhamisha mtandao huu kutoka computer moja kwenda nyengine, hivyo kunaweza kukawa na matatizo ya hapa na pale.Moja ya tatizo sugu linalojulikana na watu kupelekwa kwenye saiti ya zamani ambayo inatangazo na link ya kuwanoesha watu waje kwenye mtandao huu unaposoma chapisho hili.Hivyo kama unasoma tangazo hili umewasili kwenye mitambo mipya.

Tunaomba samahani kwa usumbufu wowote utakaojitokeza katika mchakato huu.

mrfroasty – technical support

Share: