Ujumbe maalum

Ujumbe Maalum:Mtandao unapitia kipindi cha uboreshaji tafsiri

Salaam,

Naona ni kheri pia tukajuilishana kama tuko kwenye kipindi ambacho tunaboresha tasfiri ya lugha ya kiswahili ambayo imekuwa kongwe kwa muda kama wa miaka kadhaa.

Kutokana na mchakato huo wenye changamoto nyingi, makosa ya hapa na pale yanaweza jitokeza.Tunaomba ushirikiano wa wazalendo, katika kuboresha kazi hio kwa kusaidia kutafsiri pale neno litakapokuwa na makosa au mawazo ya maneno bora zaidi.

Tunatanguza shukran.

P:S
**Anwani yetu ni admin @ mzalendo .net {ondosha space imeekwa}

Share: