Ujumbe maalum

Ujumbe:Usajili ndani ya mtandao

Salaam,

Leo kumefanyika mabadiliko ya procedure ya usajili, hii imetokana na fact kuwa fomu yetu ya usajili ilikuwa inakuwa attacked sana na spam-bots.Badiliko hili linaweza pia kuathiri mfumo wa utoaji maoni.

Kwa yeyote atakaekumbana na matatizo ya kiufundi kwenye eneo la usajili, kutoa maoni, kulogin n.k tafadhali tuandikie pembeni admin@mzalendo.net.

Wasalaam

Share: