Habari

USIZAME

Usizame ni mfumo ambao unatumia ujumbe mfupi (SMS) kumuwezesha mtu kujisajili kwa kuwepo kwake katika chombo cha meli na kutoa tahadhari. Mfumo huu umeundwa kwa lengo la kudhibiti utokeaji wa ajali za baharini Tanzania.

Weblink ni hii hapa

Tagsslider
Share: