HabariMatangazo

Uwongozi:Mzalendo.net

Huu mtandao sasa umevamiwa na wanakisonge kuja kuwatoa watu kwenye malengo, baada ya juhudi zao hapo nyumba kujaribu ku hacked huu mtandao na kushindwa, sasa wameamua kila kwenye blog kufungua id tofauti kuweza kuhujumu hoja.

Hivyo basi naomba huu mtandao kufanyika marekebisho, maoni yote tuyafanyie approve. Na pia tunawaomba members kuwa wavumilivu, matusi hatutavumilia, tutakufungia moja kwa moja bila ya onyo,tumeshatoa matangazo mengi juu ya matusi.

Mtandao wetu unaanza kupoteza haiba yake yake kutokana na hawa wana maskani. Tunahitaji mabadiliko.

By kiongozi

Share: