Habari

Video: Skh Khalifa azungumzia Masheikh. Waislam tumekaa kimya mno:

Share:

4 comments

 1. Wamtambwe 17 Julai, 2017 at 10:17

  Kwakweli Wazanzibari tumekuwa wakimya kupita kiasi.
  Hata huu Mtandao wetu wa Mzalendo sijui niseme unakufa au vipi. Hapana wachangiaji wela waleta mada sijui kwa nini?
  Hivi sasa tumepitwa sana na Facebook naa jamii Forums

 2. Mrfroasty (Ufundi) 17 Julai, 2017 at 19:46

  Nirudie kwenye maada ya hapo juu, niseme ukweli waislamu tukiendekeza kanuni za mahakama tutasubiria sana.Nadhani kwa hili wakuu wanajaribu na wamegundua kunabonyea upande huu wa kiislamu.

  jitihada zetu kwa miaka yote hio zimekuwa zikiishia patupu na sasa kumsikia Magufuli akisema UAMSHO wanahusika na Kibiti ni mzaha wa hali ya juu, labda mzee JPM anatowa wazo kuwa mchakato kama wa Kibiti unafaa kuwatoa msheikh wale.

  @Wamtwambwe,

  Mie nilidhani hakuna habari Zanzibar, maana naona kimya kirefu.Hatujapokea malalamiko yoyote ya kiufundi kama angalau kusema mtandao una matatizo ya hapa na pale yanasababisha watu kutoweza chapisha habari.

 3. Abdul Zakinthos 19 Julai, 2017 at 18:52

  Huyu Sheikh kipindi cha uchaguzi aliwajia juu serikali kama hivi ilikuwa sijui suala gani akasema kuwa kama hawajafanya hivo atawambia waislam wote wasishiriki uchaguzi
  saivi amewajia tenajuu basi sjui kama watamtafutia kesi au la

  hivi ndio tunavotaka masheikh wetu ni viongozi wetu kwa hivo kila hutuba ya ijumaa iwepo dua maalum kuwaombea mashehe bila kuogopa

  pia wapigwe ahlul badri huyu sefu idi adhalilike hadharani kama alivowadhalilisha wenzake

Leave a reply