Vidio

Baraza La Wawakilishi Zanzibar lamjibu Vikali Prof Kabudi kauli Aliyoitoa Bungeni

Wapenzi Watazamaji wetu wa ZANZIBAR360 Tunapenda kuomba Radhi kwa Tatizo lililo jitokeza Kwenye Video Hii Kwa Upande Wa Majina Ya Wazungumzaji, Kwamba Wazungumzaji Wote Majina Yao Yanasomeka (Hamza Hassan Juma Mwakilishi Wa Jimbo La Welezo) Sasa Kiuhalisia Ni kwamba Alie Zungumza Mwanzo Ni Mh Nadiri Abdul Latif wa jimbo la Chaani Na Sio Hamza Hassan Juma. Na Mzungumzaji Wa Pili Ndio Mh Hamza Hassan Juma Wa Jimbo La welezo. Hivyo Tunaomba Radhi Sana Kwa Tatizo Hilo.
AHSANTE.

Share: