Vidio

DR SHEN AKUTANA NA VYAMA 17 VYA SIASA IKULU ZANZIBAR IKIKUWEMO CUF YA LIPUMBA

Share:

3 comments

 1. Elbattawi 10 Juni, 2018 at 13:51 Jibu

  Shein kajaa magunia ya unafiki, mwenye kudhulumu haki za maamuzi ya watu hakubaliki mpaka atubu kwa kuwaomba radhi na msamaha raia.

  Lipumba ni msaliti na hukumu ya kusalitisha watu au makundi ya watu kwa tamaa na maslahi binafsi ni motoni. Utawaona na masjida kwenye nyuso, wamejaa laana.

 2. chatumpevu chatumpevu 11 Juni, 2018 at 14:00 Jibu

  Ukiangalia hiyo clip utaona msaliti mkuu lipumba yumo na lazima kuna jambo hapo otherwise asingeenda znz huyo. Ni bora CUF asili haikushiriki ktk upupu ule kwa sababu kama wangeshiriki ingemaanisha tayari wanamtambua mwizi wa haki ya watu iliyoporwa ktk uchaguzi wa mwaka 2015. Lkn ni kitu gani kimejitokeza ktk mazungumzo hayo? bado hakijawekwa wazi na wala bado ni mapema mno kujua Shein atawateua wajumbe gani hao ukizingatia kuwa kati ya vyama vilivyoshiriki ktk uchafuzi( sio uchaguzi ) wa mwaka 2015 hakuna chama kilichopata zaidi ya asilimia kumi ya kura ukitoa CUF asili ambayo wawakilishi wake sio sehemu ya serikali ya SMZ wala baraza la wawakilishi. Nafikiri ( sina uhakika) ili wawe wajumbe halali wa ZEC ni lazima watoke ktk chama kilichopata zaidi ya asilimia 10% ya kura zotye zilizopigwa. CUF hawakushiriki ktk uchafuzi wa marudio na chama cha hamad rashid kilipata chini ya asilimia 1%.

  Jee kwa mantiki hiyo , Shein atawateua CUF lipumba? au wasaliti wengine kama kutoka chama cha hamad Rashid? kama ni hivyo atatumia criteria zipi kufanya maamuzi? Utaona kwa haraka haraka lipumba anatupia jicho hapo ili aweze ku lobby wateuliwe wasaliti wenzake kuwa wajumbe wa ZEC iliyoachwa na mwanaharamu Jecha Salim Jecha, fisi wa kibeni Unguja. Na ikiwa watateuliwa kutoka kundi la wasaliti ni ipi itakuwa hatma ya CUF ya maalim?

  Ni masuala yasiyo na majibu kwa sasa lakn kwa vigezo vyote , watawala ktk hali kama hii huchagaua pale penye sintofahamu ili wazidi kulikoroga kwa sababu ikiwa watachaguliwa wasaliti kutoka kambi ya lipumba , shein ataamini kuwa , mgogoro uliomo ndani ya CUF utazidi kukua na hivyo ni faida kwa CCM/ SMZ wezi mahiri wa kura na haki za watu.

  Tusubiri tuone na tusiache kufuatilia ngoma inavyochezwa huku nikiwahi siti ya mbele ili niione sinema kwa uhalisia wake.

  Jioni njema.

Leave a reply