Habari

VIONGOZI WA HARAKATI ZA ZANZIBAR HURU WAREJESHWA TENA RUMANDE

Kiongozi wa jumuia ya UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed na wenzake sita wanao endesha harakati za Zanzibar huru au “ ZANZIBAR KWANZA” wamefikishwa mahakama kuu Vuga Zanzibar ,na kufunguliwa mashtaka mengine manne mapya , mahakamani hapo yakiwemo ya kufanya vurugu za maksudi za kuhatarisha amani katika nchi , pia kuharibu mali za watu zenye thamani T SH 150 millioni.
TARIFA kamili itatolewa baadae.

Share: