Habari

VUGA ESTATE WALIOPO VUGA JUMBA LA WACHINA SULUHISHO LAKUUZA NAKUNUNUA

TANGAZO.

VUGA ESTATE AND BROKERS LIMITED WALIOPO VUGA MKABALA NA OFISI YA MAKAMO WAPILI WA RAIS NYUMA YA JUMBA LA WACHINA WANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA WANATOA HUDUMA ZA WAKALA WAKUUZA,KUKODISHA NAKUNUNUA BIDHAA MBALI MBALI.

EWE MWANANCHI UNAYETAKA KUKODISHIWA,KUKODI,KUUZIWA NAKUNUNULIWA,NYUMBA,SHAMBA,MAENEO YA UWEKEZAJI,VYOMBO VYA USAFIRI NA VYENGINEVYO ITUMIE KAMPUNI YAKO YA KIZALENDO YA VUGA ESTATE ILI KUPATA ILI KUPATA HUDUMA BORA NA ZAHARAKA.

KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWAO VUGA MKABALA NA OFISI YA MAKAMO WAPILI WA RAIS NYUMA YA JUMBA LA WACHINA AU WAPIGIE SIMU NAMBARI 0777430434,0778800999 NA 0777482701.

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Share: