Habari

WASI WASI WANGU

Asalaam alaikum,
Nimevumilia sana lakini leo naona nieleze ninachokiona humu ndani.
Nina wasi wasi na hii site ya Mzalendo kuwa ni ya watu ambao hawana ukweli wa Uzalendo na nchi yao ya Zanzibar.Inaweza kuwa pengine ni ya Mashushu wa Serikali iliyopo madarakani.
Nasema hayo kutokana na malalamiko mengi ya wachangiaji kuwa kuna Mada zao zinatolewa humu kwasababu zisizojulikana.Na mimi ni mmoja wapo niliye pigwa block kuchangia humu ndani.Account yangu mara inazuiwa mara inaachiwa.
NImegundua hayo na salaam kwa Ashakh na wenziwe.
Mtavyofanya mwisho wa yote UKWELI utashinda.

Share: