Habari

Wazanzibari wapatiwa uraia nchini kenya

e881d8455cf4bd34a5cd3ceaa1f25224_XLJamii ya Wamakonde wanaotoka nchini Msumbiji na ile ya Wapemba kutoka visiwani Zanzibar wanaoishi nchini Kenya kwa miongo kadhaa sasa zimejawa na furaha baada ya serikali ya Nairobi kuanzisha zoezi la kuwapa vitambulisho vya uraia wa nchi hiyo. Mwandishi wa Radio Tehran jijini Mombasa Kenya, na maelezo zaidi.

Share: