Habari

Wazanzibari Wataalamu wazidi kumchanachana Prof Kabudi

Tagsslider
Share:

1 comment

  1. Ashakh (Kiongozi) 9 Febuari, 2018 at 12:56

    Kwakweli nimefurahi sana na safu ya mashambulizi ilivyojipanga. Nimependa kweli kweli . Kabudi kajibiwa kwa different styles, hivyo lazima ataondoka na ufahamu tu.

    Mwanzo nilikuwa na wasiwasi kwani Wanasheria wetu hasa Academic wako kimya sana kama vile hatuna walimu wa sheria Zanzibar au kazi yao ni kusoma darasani, hawana haja ya kuisomesha jamii sheria kwa elimu iliyokuwa sio ya darasani.

    Waliona suala la kutowa ufafanuzi kisheria ni suala la wanasiasa peke yao. Wakati ni jukumu la kila mzanzibar.

    Hivyo sasa ni wakati wa kusonga mbele kimapambano, tuangalie wapi tulenge kumrudisha nyuma adui mkoloni

Leave a reply