Habari

W’z’bar tupingeni ombi la Tanzania/Tanganyika UN kuomba eneo la bahari la

Tujifunze kwa wapelestina kwa maadui zao izrail

Wazanzibari umefika wakati sasa kutawaliwa na watanganyika kama vile palestina na izrail ,wapelestina wamezungukwa na waizrail na kuweka kati kati ya izrail,ukiangalia maeneo waliyo yahozi waizrail palestina imebakia eneo dogo sana kama vile visiwa visiwa ndio itakayokuwa zanzabar ndani ya Tanzania.

Hivi sasa Tanzania /Tanganyika wako katika mapambano ya kuomba eneo la mashariki ya zanzibar maili 200,inamaa ya kwamba tanzania ikiwa itapatiwa eneo hilo zanzibar itakuwa iko kati kati ya tanzania ambayo ndio tanganyika,na hapo tutakuwa tumezungukwa na eneo la tanganyika na zanzibar kushindwa kupuwa,hii ndio njio moja ya kutawaliwa,na kunyang’anywa rasilimali zetu.

Ni vyema serikali ya umoja wa kitaifa ikapinga suala hili kwani serikali yetu ya smz haikushirikishwa katika suala hili,tunaomba GNU,Jumuiya za kiraia,na organisation nyengi kulipinga suala vikali ,kwani wakifanikiwa hawa jamaa basi tutakuwa tumeshapoteza rasilimali zetu na zanzibar kwa ujumla.

Eneo la mashariki ya zanzibar,ni zanzibar tu yenye uwezo wa kuomba eno hilo sio tanzania,eneo hili kisheria za kimataifa zanzibar ndio yenye uwezo huo tu kwa kijographia.

Tushikamane kudai haki zetu juu ya maadui wetu.

Share: