Habari

Ya mgambo imelia

Share:

1 comment

  1. Feisal Amour 14 Agosti, 2017 at 21:29

    Bila shaka. Kwa hili halina mjadala. Vituko wanavovifanya serikali sasa hivi ni kujaribu kulazimisha wakati muda wa kulazimishana umepitwa na wakati. Kikwete alimwambia maalim Seif, “wanakuogopa hawa , wewe utavunja muungano”. Sio Maalim Seif atakae vunja muungano bali ni mashaka na madhila watufanyiao viongozi wetu ndio watakao uvunja muungano. Ilikuwa muungano huu uendelee kiserikali tatu wajinga wakaona hoooo itakuwaje tatu wakati wanajuwa fika baada ya miaka hamsini mbili haziwezekani na moja haipo.

Leave a reply