ZenjiLikiz

TETEZI:MAAZIMIO YA KIKAO CHA UVCCM KILICHOFANYIKA SKULI YA MSINGI MAKADARA ALKHAMIS TRH 2/8/2012

1.UAMSHO idhibitiwe kwa hali na mali.

2.Viongozi wa UAMSHO wauliwe.

3.Hamza,Mansour na kila kiongozi anaeunga mkono harakati za UAMSHO washughulikiwe pamoja na wazee ovyo wajinga waliosaliti chama kama MZEE MOYO na bw Ali Mzee.

4.Kambi ya JANJWIRI iundwe haraka sana na kuliomba jeshi la polisi kutoa mashirikiano kamili ya ulinzi kama lilivyofanya mwaka 2000 – 2005 katika uchaguzi.

5.Mtu yoyote atakaeonekana anabandika vipeperushi vinavyopinga muungano apigwe.

*Mgeni Rasmi wa Mkutano huo na Ndie aliekuwa msemaji mkuu ni KATIBU mwenezi wa ccm.

Jamani tutafika kweli TOA MAONI YAKO.

Share: