ZenjiLikiz

TETESI UCHAGUZI WA BUBUBU KURUDIWA ?

Bado ni tetesi .nimezipata kama dakika 10 zilizopita (saa 5.20 za jioni hii ) kwamba kuna uwezekano wa uchaguzi kurejewa . Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mwandamizi mmoja wa CCm na mwanamaskani wa pale Bububu kibweni. taarifa hiyo imekuja kufuatia kikao chao walichokifanya leo na kupewa taarifa hizo hapo maskani. Wazalendo mwenye taarifa za kuthibitisha hilo atueleze.

By za Zdaima.

Share: