ZenjiLikiz

Tetezi:Wapiga kura bandia – Zanzibar

kuna ajenda zimefanyika ccm wameeandikisha watanganyika wageni kabisa hapa zanzibar, vipande ya kupigia kura watanganyika hao wanaishi katika mitaa mbali mabili ya unguja ikiwemo darajabovu ziwatue na sehem zengine. kesho tarehe 19/5/2015

Vijana hao wametakiwa ifikapo saa nne asubuhi wafike branch ya ccm iliopo amani karibu na round about, hapo branch yatakwenda magari 2 ya jeshi na kuwapakia vijana hao na kuwapeleka sehehe husika kwa ajili ya kupatiwa hivo vitambulisho ya kura znz ID,card za kupiga kura, Hio ndio habar ilokuepo, kwa heshima na taadhima natumia fulsa hii kuwahabarisha wazanzibar na viongoz wa chama hasa cuf ikiwa mtaiona habar hii basi msipuuze fatilieni mjionee wenyewe na muone ni hatua gani inayo stahili kuchukuliwa,

Ushauri wangu kwa ccm mnazani mukifanya hivo ndio mtapata wapiga kura wengi basi mnajidanganya mana hao vijana wengi wao wamechoka na nyinyi ccm kwahio munawapa fulsa sahihi ya kuondoa madarakani kwa mana baadhi ya jina hao wameapa kua shida yao ni hio fulsa ya kupata hivo vipande ya kura tu, na hawapo tayari kuipigia ccm na tayar washavujisha hizo siri

Share: