ZenjiLikiz

Wafanye wafanyavyo hakuna baraka watakayopata kwa Wananchi au jumuia za kimataifa

Tumepata fununu kutoka ndani ya kikoa chaona mipango yao ccm kwa mwenzao , yakua uchaguzi wamepanga wasitoe majina yote ya wagombania. Na ccm watachukua majimbo manne tu ya cuf likiwemo la mansour. Na kwenye majimbo mengine watajiongezea kura kidogo kidogo ili wapate za urais . Halafu watawaita cuf wende baraza la wawakilishi na wapeleke jina la makamu wao wa rais. Wakikataa cuf watakuwa wao washapata point kua mmejitoa wenyewe kwa hio cuf ndo walovunja suk. na hapo ndo watapata sababu ya kutawala pekeyao.

Share: