MaadiliMakala/Tahariri

Masuala Muhimu ya leo

Mwandishi SALIM SAID SALIM ameitupia suali TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR (ZEC) Je,ikiwa watapewa kusimamia na kutangaza matokeo ya uchaguzi ya nchi kama India au Nigeria,ingewachukua muda gani kutangaza matokeo hayo? (Salim Said Salim).

Hili suala jengine
Je,CCM bado wanaitaka serikali ya kitaifa baada ya Maalim Seif Kuapishwa?

Mzalendo baada ya Uchaguzi.
Mzalendo imefanya juhudi kubwa kuhamasisha hadi kufikia wakati wa mamlaka kamili ,kwa hiyo hata uchaguzi ukimalizika jamani tusikimbie tuje hapa kupeana mawazo jinsi gani yatasaidia kuendesha serikali mpya ya CUF Inshallah ,maana na wao wanataka somo vile vile .

(Ahsanteni)

Share: