Makala/TahaririMaoni

WATANGANYIKA WAELEKEA UKINGONI BAADA YA KUITAWALA ZANZIBAR KWA MIAKA 49 KWA MWAMVULI WA MUUNGANO

Kutokana na Darubini yetu ya kuangalia hapa na pale na kusikiliza maoni na maelezo ya Viongozi waliotangulia Zanzibar ”   Mh. Rais mstaafu Salmin Amour, Mh. na Mzee wetu Nassor Hassan Moyo, Mh. Rais mstaafu Amani Abeid Karume na wengine ambao darubiri yetu haitoweza kuwamaliza bila ya kumsahau Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Seif Sharif Hamad.

Hawa wote wameorodhesha kwa njia moja au nyengine kwamba UTAWALA WA TANGANYIKA KWA KIVULI CHA MUUNGANO umefikia ukingoni.

Darubini yetu inaangalia . Jee Zanzibar imejifunza nini kutokana na utawala wa mabavu, ukoloni wa kitanganyika kwa miaka 49 iliyopita?

Jee Tanganyika iko teyari kuliachilia koloni lake la Zanzibar kwa miaka 49?

Jee Watanganyika wameisaidia nini Zanzibar?

Jee Watanganyika wameijenga Zanzibar au kutia umasikini kwa miaka 49

Darubini yetu inawaachilia wana mzalendo kutoa maoni yao

Kwaheri mkoloni Tanganyika kwa kutumia ujanja wa Muungano wa kitapeli kuitawala Zanzibar, Utawala wa kimabavu na wizi umefikia ulingoni.

 

Share: