KitaifaMatangazo

Mkono wa Pole kutoka ZAWA UK

Assalamu alaykum,

Kwa niaba ya uongozi, wanachama na wazanzibari kwa ujumla, Jumuiya ya Zanzibar Welfare Association UK, inatoa mkono wa pole kwa aliekuwa mwenyekiti wa ZAWA UK na pia ni mlezi wa jumuiya hiyo kwa kwa sasa maalim Abdallah Ali na kifo cha baba yake mzazi Maalim Ali Juma, marehemu atazikwa leo huko Zanzibar.

Twamuomba Mola amughufirie madhambi yake mja wake huyo  na amuingize katika pepo zake Inshaallah.  Vile viletunamuomba Allah awape subra wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu cha msiba huu.

Mwenyekiti ZAWA UK

Hassan M Khamis

Share: