Scholarships

Nafasi za Masomo Certificate na Diploma- Pemba 2014

ZCBE1
Chuo cha Zanzibar College of Bussiness Education Kilichopo Vitongoji Chake Chake Pemba-Island Zanibar Kinawatangazia watu wote wanaotaka kujiunga nafasi za masomo ya biashara kwa ngazi za Certifacate na Diploma kuwasiliana na uongozi wa Chuo hicho kwa no. +255 777 455099/ 777 863604 / 777413571, na kupata form za usajili. Iliwabidi kugharimika watu kusafirisha ndugu na jamaa zao kwenda kupata elimu nje ya Pemba – leo tumejitahid kupunguza usumbufu huo
Shukran.

Share: