Matangazo

Taarifa ya Maandamano

Asalaam aleykum!
Umoja wa Zanzibar Diaspora scandinavia (Zandias) unawaarifu wa Tanzania wote kuja katika maandamano takayofanyika siku ya jumatatu tarehe 14/12/2015 saa 4 asubuhi.
Tunaandamana kwa Ajili ya Kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar. Tutakutana T – central mbele ya kulturhuset kwenye ngazi baadaye tutafuatana pamoja kwenda kwenye parlament (riksdag).
Tunawaomba kuhudhuria kwa wingi iwezekanavyo kabla ya saa 4. ASANTENI SANA

Share: