Matangazo

Tangaza biashara zako bure Zanzibar facebook

Assalam Alaykum

WP_20160625_18_56_06_Pro

tunaombwa tutembelee hii fb kujiunga ili kutangaza biashara zetu bure,tumekuwa tukitabika sana kutafuta spare na vifaa mbali mbali ZNZ kwa hiyo tumeona vizuri kutengeneza hii fb ili kila mtu auze na kununua na kuagiza.

Vitu vifuatavyo vinapatikana kwa sasa

Camera za gari –nzuri kurikodia matukio haya ya uvunjwaji wa amani ZNZ kwani ni ndogo sana na less risk kujulikana NA NI HD

kalamu za CAMERA AMBAZO ZINAREKODI FULL HD NA KAMERA YAKE IMEFICHWA HAIONEKANI

GO PRO CAMERA ZINATUMIKA KWA SPORT PAMOJA NA KUOGELEA NA KUENDESHA BASKELI

CAMERA CANON EOS1200D NA NYENGINEZO

PIA WANUNUZI WA WHOLESALES TV LCD ZIMEWASILI KWA HIYO ikiwa mtu ana mzigo wake kutangaza tafadhali tembeleeni muweke picha

ahsanteni

link ni https://www.facebook.com/groups/1809689882585659/

Share: