Vifo

Mkono wa Pole

Assalamu alaykum,

Kwa niaba ya uongozi, wanachama na wazanzibari kwa ujumla, Jumuiya ya Zanzibar Welfare Association UK, inatoa mkono wa pole kwa Makamo Mwenyekiti wa ZAWA UK Bi Shuweikha Ali Khamis kwa kifo cha Mama yake mzazi Kilichotokea huko Mombasa Kenya.

Twamuomba Mola amughufirie madhambi yake mja wake huyo na amuingize katika pepo zake Inshaallah. Vile vile tunamuomba Allah awape subra wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu cha msiba huu.

Mwenyekiti ZAWA UK

Hassan M Khamis

Share: